Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

sio hatupendani,huwa mnatunyima raha sie wenye maumbo namba1 sasa ikija gundulika msambwanda fake lazma tuseme
Hahaha et umbo namba moja, nyie mna shepu za mswaki! Ha ha ha ila sio siri naonaga huruma sana demu kukosa tako ananyanyasika mno!
 
Muujiza ni kunitafuta nikupe supplement za booty plus
 
Yeye mwenyewe hajionei huruma maana siku mavitu aliyoyaweka yakianza kuleta athari tutatafutana humu maana kipindi cha nyuma hakuaga hivyo alikua flat flat hivi

Usiku hizi mwenzioa anauza mifuniko ya Asali.
 
Una Hips halafu Short-Chassis wala haipendezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…