Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

sio hatupendani,huwa mnatunyima raha sie wenye maumbo namba1 sasa ikija gundulika msambwanda fake lazma tuseme
Hahaha et umbo namba moja, nyie mna shepu za mswaki! Ha ha ha ila sio siri naonaga huruma sana demu kukosa tako ananyanyasika mno!
 
Yeye mwenyewe hajionei huruma maana siku mavitu aliyoyaweka yakianza kuleta athari tutatafutana humu maana kipindi cha nyuma hakuaga hivyo alikua flat flat hivi

Usiku hizi mwenzioa anauza mifuniko ya Asali.
 
Back
Top Bottom