Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
POSHY-QUEEN-819x1024.jpg
Jacqueline obed ‘Poshy Queen’




ANAPATA tabu sana!
Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata, Jacqueline obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa anamuonea huruma mpenzi wake kwa vile anapata tabu sana kutokana na umbo lake.

Poshy alisema kutokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume wenye uchu wanaotaka kuwa na uhusiano naye kimapenzi, mpenzi wake huwa anapitia kipindi kigumu.


POSHY-QUEEN-1.jpg



“Kuna wakati namuonea huruma kutokana na usumbufu ninaoupata hivyo huwa anajitahidi kupambana na hali hiyo. Kuna wakati unamuona kabisa amekata tamaa, lakini nampa moyo kila siku,” alisema
 
Back
Top Bottom