data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Ahh nawasalimu,
Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'.
Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima.
Nchi hii ina janjajanja nyingi sana linapokuja suala la malipo hasa haya ya local government. Kwanza huwa hayawekwi wazi na walipaji huanza tanguliza maneno ya kuwaandaa watu kisaikolojia kupokea chochote kitu kana kwamba wamebahatisha.
Sasahivi semina zinaendelea nchi nzima ila hakuna mwenye uhakika ni kiasi gani wanasemina hao wanapaswa lipwa kuanzia malazi...chakula...usafiri...dharura za afya..na kazi yenyewe.
Hili halisemwi na haliwekwi wazi si kwa bahati mbaya, ni kusudi kwa wachache wenye nia ovu.
Kuna neno huwa linatumiwa huku serikalini 'privilege' yani upendeleo. Ndugu zangu hilo neno ni baya sana kwani linadhoofisha kufanya mtu ujione una bahati kati ya wengi. Ni kweli waliopata fursa hii ya kazi ya sensa ni wachache sana lakini niwaambie you are not privileged, you have the right because you applied.
Nisiwachoshe na maneno mengi ninachotaka kueaambia ni kwamba mna haki ya kufahamu stahiki zenu sawa na hadhi yako serikalini.
Maana kuna malalamiko hukontayari yashasikika watu wanakula chakula kichache na hakuna maji ya kunywa ..huu ni upigaji kama upigaji mwingine tu. Mna haki..na mnapswa kufahamu.