Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,188 Reaction score 4,116 Apr 2, 2026 #1 Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 5,203 Reaction score 13,364 Apr 2, 2026 #2 Vipi Kuna mh unamdai Nini😎
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 4, 2026 #3 Ngoja waje... Cc: Mahondaw