obvious the answer sitoweza kuchukuahivi ungekuwa wewe je?
Uko tayari kuwa unga mkono....na hapa ndio tunataka tuone ukombozi wao wa dhati... Hatutaki porojo
umenena vyema mkuu lakini waliziacha hizo posho na wana mikakati gani yakuigomea posho pamoja na kuwa zinaingia benki moja kwa mojavipi mkuu hufatilii bunge mbona chadema walisha piga tangu ikiwa tzs 70,000...
mkuu ruta,
tuache unafiki chadema walipiga kelele watu tukawa tunawabeza vipi leo tena tuwalaumu...
Je wewe kama mwananchi mlala hoi ulichukua jukumu gani kupiga au kuwaunga mkono chadema...
niko tayari hata sasa na ndio maana naomba ufananuzi wao kuongezewa hizo posho .si tamko tu tunaomba tuone reaction kama ya zitto kwa wabunge wote sio yatoke tena ya mzee wa ujira wa mwihauko tayari kuwa unga mkono....
I reckon they deserve such handsome emoluments (given) the tremendous work they perform as part of their parliament stints. For instance, they have recently debated and endorsed a Constitutional Bill pending President's sanction. Additionally, they have carried out inquiry into Jairo's scandal and boldly proposed on stern measures to be taken against the accused which might include losing him a job. All these remarkable jobs need to be appreciated and anything less than Tshs 200,000 a day may not suffice.
mbona kama takwimu haziko sawa? Mi napata ongezeko la %185 ukichukua posho ya zamani via-a- vis posho hii mpya
"Zimeongezeka kutoka Sh70,000 mpaka 200,000, wameanza kulipwa Bunge lililopita hili ni ongezeko la karibu mara tatu, yaani asilimia 154," kilieleza chanzo chetu kutoka ndani ya Ofisi za Bunge.
Hizo hesabu si sahihi .........200,000/70,000x100%=286% na sio 154%