Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mibastola na mengineyo ukiweza [emoji39][emoji39][emoji39]
Comment yako ni nzuri sema emoji haionekani vizuri.Umesahau aliposema ile shepu ya kipindi cha nyuma ni picha za miaka miwili nyuma yaani hayo mahips yameota haraka kama uyoga vile [emoji276]
Hivo kwa posh sio mibastola sasa.. Ni mi AK-47mabastola ..ma SMG...ma AK 47 ma RPG ma Glock 9mm na mapisto kama ya poshy [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli aisee maana kawa abnormal [emoji23][emoji23]Hivo kwa posh sio mibastola sasa.. Ni mi AK-47
Kazudisha dawa[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli aisee maana kawa abnormal [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mpenzi wa bastola,,,Dawa ya kukuza mtako hivo inauzwa elfu kumi tu.. Tusitishane
Na shepu bandia
Mi mwenyewe nna mibastola ya kuzaliwa mpaka shule wakawa wananikoma.. Sina kelele mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana hicho kiumbe kimejua kumkosoa mungu..... nahisi mungu ataanza kuumba viumbe vya hivyo [emoji23]Huyo ukimpeleka kwenu kumtambulisha mpaka babu zako wanageuka.. Ni kiumbe wa aina Yake[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ya kukuza mtako hivo inauzwa elfu kumi tu.. Tusitishane
Na shepu bandia
Mi mwenyewe nna mibastola ya kuzaliwa mpaka shule wakawa wananikoma.. Sina kelele mbona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vema kujikubali tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana hicho kiumbe kimejua kumkosoa mungu..... nahisi mungu ataanza kuumba viumbe vya hivyo [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetujalia mkate toka mbinguuuniiiDaaah kesho alhamisi ni kuabudu ekarist muda ni saa 11 JIONI...
Huyo ukimpeleka kwenu kumtambulisha mpaka babu zako wanageuka.. Ni kiumbe wa aina Yake[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app