Poshy queen kafungua biashara

Hiyo frame hapo imekuwa ya wafanyabiashara wa nguo za ndani tu kabla ya poshy walikuwa peachy lingerie.

Maeneo yangu ya kujidai hayo
 
Tatizo hii biashara ya chupi imekua ni target ya kuzinzika na wateja sababu ni rahisi kukamilisha makubaliano na muuzaji kwakua siri zote huwa zipo kwenye chupi, kama inauzwa hadharani hivyo inamaana aibu imeondoka kwaiyo lolote laweza kuwa kati ya muuzaji na mteja.

Mkorintho wa 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…