Poshy queen kafungua biashara

Poshy queen kafungua biashara

Hiyo frame hapo imekuwa ya wafanyabiashara wa nguo za ndani tu kabla ya poshy walikuwa peachy lingerie.

Maeneo yangu ya kujidai hayo
 
Hatimaye wajina waje mie... Maarufu kama Poshy queen kafungua duka lake... Ni kama muonavyo pichani.

Duka lipo maeneo ya sinza palestina.. Kwa jina Poshy's secret
Nyote mnakaribishwa

Kila la kheri na mafanikio Jacq[emoji7]
View attachment 1018366View attachment 1018367

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hii biashara ya chupi imekua ni target ya kuzinzika na wateja sababu ni rahisi kukamilisha makubaliano na muuzaji kwakua siri zote huwa zipo kwenye chupi, kama inauzwa hadharani hivyo inamaana aibu imeondoka kwaiyo lolote laweza kuwa kati ya muuzaji na mteja.

Mkorintho wa 6
 
Back
Top Bottom