Poshy queen kafungua biashara

Poshy queen kafungua biashara

mkuu umelenga mule mule,hio ni size yangu,lol

Poshy amejidhalilisha angeleta nguo za maana kwa masister duu wa town...utoto bwana, hajapata wa kumshauri..
Kaenda mpaka China kazoa hizo.. Mi mwenyewe nimeshangaa.. Kuna vichupi simple vibikini na brazia zake pair angeuza sana coz anatarget wadada wa rika lake zaidi
Hizo mi mwenyewe mwajuma ndalandefu hata uuze mia tano sivai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bado ana nafasi lakini ya kuleta mambo mengine,lol ….

kuleta vitu kama nguo za ndani au za kawaida.inabidi uwe umefanya kazi ya ziada,maana ushindani ni mwingi….
 
Back
Top Bottom