Possible lineup itayotupa sare stars tofauti, na hapa tunagongwa

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
1. Aishi manula
2. Kibwana shomari
3. Kuhende
4. Job Dick
5. Mwamnyeto
6. Sospeter bajana
7. Msuva Simone
8. Yusuph Kagoma
9. Samata
10. Feitoto
11. Sopu

Kocha ukipanga tofauti na hapo tunapigwa.

Bajana dimba sababu ya ubabe wake na ukorofi anamvurugaga mno AUCHO.
 
Je kocha wa JF unaweza kutoa sabsbu ya kuanza na Feisal?
 
Kipindi cha pili waingie mayele na sakho.

Sisi ndo makocha wa mchongo.
 
Ungekua unajua mpira ungekua kwenye kamati ya ufundi, hivyo kaa kwa kutulia.
Sio kila anaejua kutomba au kutombwa ni mcheza pornography
 
Faidha sijui fatuma ana fanyaj hapo ana miezi atuja muona uwanjani
 

Mtoe Amijei hapo ili tupate ushindi.
 
Mechi saa ngapi na itaonyeshwa popote, AZAM au DSTV?
 
Je kocha wa JF unaweza kutoa sabsbu ya kuanza na Feisal?
Yuko vizuri kwenye pasi za mwisho na ana uwezo mzuri wa kufunga katika mazingira yasiyotarajiwa.
Pia atataka kuuthibitisha ubora wake hivyo ni vizuri kumtumia hamu yake iwe faida kwa Taifa.
 
Hadi hapo tutapoacha siasa kwenye soka letu hasa kwenye selection ya timu ya Taifa, vinginevyo ni vipigo mfululizo.

Kwa mfano mtu hana timu kwa miezi 4 unamchagua timu ya Taifa? kwa kigezo kipi?
 
Hivi huyu sopu huwa ana kiwango gani mbona sionagi? Ye mechi yake 1 tu na Yanga mechi zinazofuata ni kurukaruka tu uwanjani
Kinyesi fc lazima mumchukie dogo,acheni chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…