Possible lineup itayotupa sare stars tofauti, na hapa tunagongwa

Possible lineup itayotupa sare stars tofauti, na hapa tunagongwa

Hadi hapo tutapoacha siasa kwenye soka letu hasa kwenye selection ya timu ya Taifa, vinginevyo ni vipigo mfululizo.

Kwa mfano mtu hana timu kwa miezi 4 unamchagua timu ya Taifa? kwa kigezo kipi?
Wana yanga ni manyani mbona msuva aliitwa hamkuongea?
 
Nikishaonaga mbwembwe za serekali za uhasishaji tayari ujue lazima tupigwe
 
Naona beki ya Yanga leo inaenda tena kupigwa na Vipers.
 
1. Aishi manula
2. Kibwana shomari
3. Kuhende
4. Job Dick
5. Mwamnyeto
6. Sospeter bajana
7. Msuva Simone
8. Yusuph Kagoma
9. Samata
10. Feitoto
11. Sopu

Kocha ukipanga tofauti na hapo tunapigwa.

Bajana dimba sababu ya ubabe wake na ukorofi anamvurugaga mno AUCHO.

Wewee tayari tumeweka 3 kibindoni
 
1. Aishi manula
2. Kibwana shomari
3. Kuhende
4. Job Dick
5. Mwamnyeto
6. Sospeter bajana
7. Msuva Simone
8. Yusuph Kagoma
9. Samata
10. Feitoto
11. Sopu

Kocha ukipanga tofauti na hapo tunapigwa.

Bajana dimba sababu ya ubabe wake na ukorofi anamvurugaga mno AUCHO.
we mpuuzi haswaa,ukocha ulisokea wapi,umeona kocha kapanga tofauti na tumeshinda
 
Back
Top Bottom