Possible military coup in Israel

Possible military coup in Israel

Mathanzua

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Posts
17,251
Reaction score
22,929

POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL​

Hal Turner World November 06, 2024
********** FLASH ********** POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL

Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
 
Attachments

  • IDF-coup-d-etat.mp4
    1.4 MB
Impossible!

Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
 
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as info becomes available.
Ebu weka hiyo link hapa niende huko mwenyewe please.
 
Impossible!

Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
Mimi sijui mkuu,ila Natenyahu alitoa taarifa ndefu sana kuhusu sababu za Gallants firing ikionyesha kwamba ana wasi wasi.Ngoja tusubiri tuone kama hizi taarifa nilizopata ni za kweli.
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye mature democracy.

Just another fake news wishcasting.

The United States will never ever let its only reliable ally in the Middle East fall to a putsch.

And nor will Israelis, either.
 
Mapinduzi yanafanyika sehemu yoyote duniani hakuna kitu kinachoitwa haiwezekani japo natilia shaka taarifa hii
 
Impossible!

Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
Kwann una imani sana na Neta Nifah
 
Hakuna kitu kama hicho kwenye mature democracy.

Just another fake news wishcasting.

The United States will never ever let its only reliable ally in the Middle East fall to a putsch.

And nor will Israelis, either.
Labda kama hao wahuni jeshini hawajipendi.
 
Mapinduzi yanafanyika sehemu yoyote duniani hakuna kitu kinachoitwa haiwezekani japo natilia shaka taarifa hii
Mapinduzi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.

Hivyo, hilo kwa sasa haliwezi kutokea Israel.

Israel ina uchumi mzuri. Hakuna kabisa sababu ingine yoyote ile ya kufanya mapinduzi ya kijeshi ilhali taasisi za kidemokrasia zipo na zinafanya kazi vizuri.

Netanyahu anaweza kuondolewa madarakani kupitia taratibu zilizopo kikatiba na kisheria.

Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheheni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.

IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
 
Mapindizi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.

Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheneni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.

IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
Hayo ni mawazo yako ambayo kwa kiasi kikubwa ni nje na uhalisia ulioko Israel.
Nani kakudanganya sasa hivi Israel iko na uchumi mzuri?
Uchumi wa Israel uko na shida isipokua unconditional financial aids kutoka USA ndio zinaifanya Israel ionekane bado inasimama.
Kuna sababu lukuki zinazopelekea kufanyika kwa mapinduzi,japo utawala wa kizayuni hauwezi kuruhusu.
Israel hakuna demokrasia,kama kungekua na demokrasia tusingeona wale Orthodox jews wakiburuzwa kama magunia waingizwe jeshini.
Pia tusingeona kiongozi asiyependwa "Netanyahu" akibaki madarakani licha ya raia kutokumpenda.
 
Mapindizi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.

Hivyo, hilo kwa sasa haliwezi kutokea Israel.

Israel ina uchumi mzuri. Hakuna kabisa sababu ingine yoyote ile ya kufanya mapinduzi ya kijeshi ilhali taasisi za kidemokrasia zipo na zinafanya kazi vizuri.

Netanyahu anaweza kuondolewa madarakani kupitia taratibu zilizopo kikatiba na kisheria.

Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheheni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.

IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
Sababu yenyewe ni ya kipuuzi mno eti wanajeshi waandamane kisa kuenguliwa kwa waziri wa ulinzi?? 😂
 
POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL​

Hal Turner World November 06, 2024
********** FLASH ********** POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL

Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
Hamas siwarushe kombora hapo wamalize kazi
 
atimuliwe huyo yani itakuwa pigo moja matata
 
Back
Top Bottom