Possible military coup in Israel

Acha ulongo
Hao ni Polisi walikuwa wanaenda kuwaondoa hao raia waliofunga barabara. Wewe umeleta hicho kipande cha picha, mimi nakuwekea video
Your browser is not able to display this video.
 
Yes,we have to wait for updates.However, this discontent shows serious discontent in the Israel army, which could be exploited by Israeli's adversaries.
It is still a speculation. Even the discontent itself.
 
Mnatamani vitu visivyowezekana
 
Inajulikana kama nchi ikiwa katika vita uchumi unayumba,sasa kwanini utudanganye kuwa Israel ina uchumi imara licha ya vita zinazoendelea!?
Pia inategemea hiyo nchi ina nguvu ya kiuchumi kwa namna gani,Russia hadi sasa hajaanguka kiuchumi na yuko vitani mwaka wa pili kuelekea wa tatu na Ukraine.


Israel HAINA DEMOKRASIA TUNADANGANYANA kama ina demokrasia tusingeona jews Orthodox wakiburuzwa kujiunga jeshini.
Hivi nchi yenye demokrasia inalazimisha raia kuingia jeshini tena kwa nguvu na marungu!??
Hehehe basi hiyo demokrasia itakua vichekesho aiseee.
 
Uliona Ravalomanana rais wa zamani wa Madagascar alivyopinduliwa na Andy Rajoelina!???
Askari wali march bila silaha wakazingira nyumba yake na wakamuweka house arrest.

Kitendo cha JESHI ZIMA 90% kije kina march nyumbani kwako bila hata kushika silaha hakuna kitu unaweza fanya.
Kwasababu walinzi ndio hilo jeshi,na walinzi takriban wote wamekugeuka,utakaa ofisini wewe!??
Tanua fuvu hilo mkuu.
 
Huwa unawaanbiaga wengine watoe vyanzo vya uhakika vya taarifa zao. Mimi hapa sijaona chanzo chochote ulichonukuu. Au ni mtizamo wako. Na kama ni mtizamo wako nitauheshimu.
 
Endelea kuota
 
Unaota!
 
Huo ujinga haupo MI sio wanasiasa na hawakurupuki hasa ukizingatia status ya nchi kiusalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…