Post chochotee

Post chochotee

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa.

Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa, ukikosa cha kuchangia majukwaa yotee njoo sema hapaa, hata kusunyaa njoo usunyee hapaa yaaani hapa ni chochoteeee,

Weka , picha, clip, screen shot, yaaaniii namaaanishaaa chochoteeee

Usipite hapa bila kusema chochoteee, Hii ni chitchat mchezo usiohitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]sijui kulia inaruhusiwa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
mgtgawgjgjpgtphtpjp0p hmg pgmgd gmgtgdgth jmgjgpgdtgpm.gp.g pgjgdgjt gpgtgpjg,jhdtgtpadg.mdgjtgatgdtjg
 
Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa.

Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa, ukikosa cha kuchangia majukwaa yotee njoo sema hapaa, hata kusunyaa njoo usunyee hapaa yaaani hapa ni chochoteeee,

Weka , picha, clip, screen shot, yaaaniii namaaanishaaa chochoteeee

Usipite hapa bila kusema chochoteee, Hii ni chitchat mchezo usiohitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaa
Post yako na jina lako vinaendendana kinyama yani!!![emoji86] [emoji86]
 
Braza k ringo tin white emanuella kansime ze Boss mpa aiseee maforwad wapya wa barcelona ya Tandahimba iliopo uganda mashariki ya Kimara kusin ya Magomeni aiseee bonge la wasaniii wakali aaah lazima watatisha tu wasafi wakasome hakuna mavoko wala makoko hakuna domo wala chai jaba ngoja nile nitarud ili ni bonge la story......
 
Back
Top Bottom