Post chochotee

Post chochotee

UMELALA NA MTOTO WA WATU GUEST TETEMEKO LINAWAKUTA BINTI ANAANGUKIWA NA UKUTA

hapo ndo utajua watumwa waliwezaje kutoka kigoma mpaka bagamoyo kwa miguu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ajali kazini
Itaonekana aliangukiwa akiwa anakimbiaa
 
Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa.

Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa, ukikosa cha kuchangia majukwaa yotee njoo sema hapaa, hata kusunyaa njoo usunyee hapaa yaaani hapa ni chochoteeee,

Weka , picha, clip, screen shot, yaaaniii namaaanishaaa chochoteeee

Usipite hapa bila kusema chochoteee, Hii ni chitchat mchezo usiohitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaa
MI SITAKI KUCHANGIA CHOCHOTE
 
Mara ya mwisho 2014 nilikuwa nashika vimilioni 10 na Gari nzuri batabani nilikuwa mshua kwelikweli daaa ! Kwa sasa ata 10000 naitafuta simsingizii magu kuna malio mmoja kanimanua duu nammaindi ingekuwa mungu ananipa nafasi ya kuhukumu duniani ningemkata kichwa kama boko halamu yaani daaa![emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
1473792698490.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Hivi Mkulu kwene maafa kachangia shing ngapii??
manake nikisikia michango ya wanaume wenzakee afu yeye kimyaa..............
Aaghhhhh
sijui hata nilikuwa naandika nini
 
Back
Top Bottom