General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
hahahahaahaYanga, mango, keko, Bora, Tandikaa, Yangaaaa mangooooooo
Leta mastorrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiNina bonge la story.... Jikusanyeni mje
Post yako na jina lako vinaendendana kinyama yani!!![emoji86] [emoji86]Sio lazima kila siku uchangiee mada iliyopo, unaweza kuwa na yako yamekutingaa unatupiaa hapaa.
Yaani ni full kutoa mastress, ukiamua kulia we lia hapaa, cheka hapa, tukana hapaa, jamba hapaa, ukikosa cha kuchangia majukwaa yotee njoo sema hapaa, hata kusunyaa njoo usunyee hapaa yaaani hapa ni chochoteeee,
Weka , picha, clip, screen shot, yaaaniii namaaanishaaa chochoteeee
Usipite hapa bila kusema chochoteee, Hii ni chitchat mchezo usiohitaji hasiraaaaaaaaaaaaaaaaaa