Post chochotee

[emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Kila siku nakuambia usitumie mtandao wa tigo cheki imeandika " e "

Bila shaka mkuu unatumia iPhone........
 
Mungu awabariki sana memba wote wa JAMII FORUMS,

Azidi kuwapa nguvu na kuwalinda na kuwapa maisha marefu na mafanikio mema

Ni furaha kwa wana memba kuweza kumshukuru kwa uweza wake na mambo aliyotufanyia mwaka 2016 na sasa tunaelekea mwaka mwingine.

Muwe na amani na furaha katika familia zenu , ndugu , jamaa , na marafiki popote walipo

Naomba niwatakie krismasi njema na mwaka mpya mwema.....
( * 2017 * )
free maxence melo

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI
AFRIKA............
 
Ukitaka kujua akili nyepesi just mpe tu Uhuru wa nusu saa utamjua tuuu.
 
Daaaah huu uzi nilikuwa nausak san asante kwa aliye ufufua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…