Post chochotee

Post chochotee

cd3d847e2e5fabcc5c7195e70f3b9a35.jpg
 
Mungu awabariki sana memba wote wa JAMII FORUMS,

Azidi kuwapa nguvu na kuwalinda na kuwapa maisha marefu na mafanikio mema

Ni furaha kwa wana memba kuweza kumshukuru kwa uweza wake na mambo aliyotufanyia mwaka 2016 na sasa tunaelekea mwaka mwingine.

Muwe na amani na furaha katika familia zenu , ndugu , jamaa , na marafiki popote walipo

Naomba niwatakie krismasi njema na mwaka mpya mwema.....
( * 2017 * )
free maxence melo

MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI
AFRIKA............
 
Ukitaka kujua akili nyepesi just mpe tu Uhuru wa nusu saa utamjua tuuu.
 
Daaaah huu uzi nilikuwa nausak san asante kwa aliye ufufua
 
Back
Top Bottom