Wakuu mi nikiingia jf nakuwa kama chizi,hata kama na hasira vipi utanikuta nacheka peke yangu.ukisoma id ya mtu lazima ucheke,post ya mtu ndo kabisa lazima u smile.njoo kwenye comment sasa mwingine ana comment kitu ambacho hakihusiani na post kabisa,mwingine hata kama post inaeleweka umechapia tu kidogo kiingereza atajifanya anarekebisha kiingereza while hana mchango wowote kwenye post.mwingine ataleta lugha za kejeli na kama unahasira lazima mtagombana tu.hata hii post nahc itawafurahisha sana watu.ngoja nicheke kwanza ha ha ha aaaaaaaa......Nawasilisha wakuu