Post,comment na vituko vya jamii forum vinanipa rahaa

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,780
Reaction score
2,555
Wakuu mi nikiingia jf nakuwa kama chizi,hata kama na hasira vipi utanikuta nacheka peke yangu.ukisoma id ya mtu lazima ucheke,post ya mtu ndo kabisa lazima u smile.njoo kwenye comment sasa mwingine ana comment kitu ambacho hakihusiani na post kabisa,mwingine hata kama post inaeleweka umechapia tu kidogo kiingereza atajifanya anarekebisha kiingereza while hana mchango wowote kwenye post.mwingine ataleta lugha za kejeli na kama unahasira lazima mtagombana tu.hata hii post nahc itawafurahisha sana watu.ngoja nicheke kwanza ha ha ha aaaaaaaa......Nawasilisha wakuu
 
Naona umeponda jiwe gizani mkuu, ngoja waje
 
Z
 
Binafsi namkumbukaga mzee wa fedha za rambirambi siku hzi simuoni alitoa raha sana!
 
Wakuu mi nikiingia jf nakuwa kama chizi,hata kama na hasira vipi utanikuta nacheka peke yangu.ukisoma id ya mtu lazima ucheke,post ya mtu ndo kabisa lazima u smile.njoo kwenye comment sasa mwingine ana comment kitu ambacho hakihusiani na post kabisa,mwingine hata kama post inaeleweka umechapia tu kidogo kiingereza atajifanya anarekebisha kiingereza while hana mchango wowote kwenye post.mwingine ataleta lugha za kejeli na kama unahasira lazima mtagombana tu.hata hii post nahc itawafurahisha sana watu.ngoja nicheke kwanza ha ha ha aaaaaaaa......Nawasilisha wakuu

Wewe kilaza unapoteza muda wako kampikie mume wako
 
Back
Top Bottom