Heeeeeeeee!
Kama huna cha kuchangia si unyamaze, kelele za nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heeeeeeeee!
Na hapo ndoutajua ka, maharagwe ni mboga ya serikali
Kama huna cha kuchangia si unyamaze, kelele za nini sasa?
HHAAHAA
TUPE SRC YA STORY YAKO MKUUU
KWIIKWIII apo sijachapia na stouch yangu uchekezaidi
ha ha ha ha ha
kweli hujachapia
Mpwa unashurutika kiwanja kipi???zamani ningekuwa escape 1 walipoleta mabiili yao ya kiingilio kamanaingia Serengeti wakati akuna wanyama loh nawaza pa kujiliwaza mkuu
Kama huna cha kuchangia si unyamaze, kelele za nini sasa?
Ha ha mkuu eti weka picha
Wewe kilaza unapoteza muda wako kampikie mume wako
Mkuu, nikija mjini nitakutafuta unionyeshe daraja la manzese, naambiwa nirefu kama ghorofa na kupanda ni buree....
mtumishi bora ukae na watoto tu leo
Binafsi namkumbukaga mzee wa fedha za rambirambi siku hzi simuoni alitoa raha sana!
Mwe!!! Kumbe wale wale akina bofloWazijua kelele wewe,Mxuuuuu we kunaunacho nitafuta bora uniwache kabla sijawa mbogo!
Wako na mamayao Mkuu wanakula Memayanchi sie tunapigika mpwa
Usihofu sikupigi mzinga triipu hiiii shimo limetema tar 36 mpwa
Usiache kuwaommbea wafanyakazi wa tigomountcity
Leo 42 alijatema ukikaanae bar huyu ukitoka to choon
i si anakuwekea dulucolax kwenye ngano ukasafishe vyema tumbolako
mkuu hv matola ni me or keVipikwenyendoa yakomkuu atukupi kaslope usiku unauona kwa amani
Cc...How
Dd :Matola
Ee;Mo11
Mpwa unashurutika kiwanja kipi???zamani ningekuwa escape 1 walipoleta mabiili yao ya kiingilio kamanaingia Serengeti wakati akuna wanyama loh nawaza pa kujiliwaza mkuu
Teh..teehh...teeehhh......
Tucheke tu mzee mwenzangu