MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
- Thread starter
- #41
Mwe!!! Kumbe wale wale akina boflo
!!!
Duh hizi id nyingine hizi,eti huyu anaitwa panyaaa rodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwe!!! Kumbe wale wale akina boflo
!!!
HHAAHAA
TUPE SRC YA STORY YAKO MKUUU
KWIIKWIII apo sijachapia na stouch yangu uchekezaidi
Naona umeponda jiwe gizani mkuu, ngoja waje
Nitake radhi kijanaunakuwanga Kama chinzi,
kweli wewe ngolo.
Hapa sijaelewa kitu
Leo hawapo mkuu sijui wameenda wapi
mkuu wewe ni mgeni au ??
mkuu wewe ni mgeni au ??
Mkuu, leo ijumaa. Watarudi tu mida ya kutoka outing na wapenzi wa mioyo yao
Mkuu hii lugha ilikuja na meli,ngoja waje wanaoijua sasa hv
Huyo anaitwa pdidy na hapo ndio kajitahidi.
Jf rahaa
Sasa si ndio vituko vyenyewe hivyo ili uzidi kupata raha zaidi:dance:Duh mkuu sijaielewa hii comment yako,hv halimashauri yako ya kichwa imekaa vizuri kweli
HahaaahahHaya ndo madhara ya kuchelewa kuja mjini.
Mdomo wangu umebaki waziNa hapo ndoutajua ka, maharagwe ni mboga ya serikali