naona haya majibu ya kidato cha nne wote yametushtusha na kutufanya tuwaze zaidi,
nini hatma ya hawa wenzetu,
kwa mtindo uliopo sasa wa kusubiri uwe umefaulu masomo matatu ndio uende advance,
naona umekaa kibabe na tunazidi kuwa didimiza wasiwe na hope....
mie naona unahitaji overhaul,
mie naona kuwe na minimum ya pass mbili kwenda advance na kwenda chuoni....
nyie mnaonaje...