Post Graduate Diploma

Post Graduate Diploma

djsisco

Senior Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
104
Reaction score
15
habari zenu wakuu,

naomba ufahamu kuhusu hizi diploma,
1. tofauti ya ordinary diploma, advanced diploma na post graduate diploma ni ipi?
2. mtu mwenye ordinary diploma yupo eligible kusoma post graduate diploma then aende masters au mpaka asome advanced diploma?

binafsi nina ordinary diploma in shipping & port management, nataka nikasome post graduate diploma in shipping & port management pale NIT, lakini requirements zao wanasema mpaka uwe na bachelor degree au advanced diploma.

nasikia advanced diploma ilifutwa, sasa kama ilifutwa ina maana mwenye ordinary diploma anaweza kusoma post graduate diploma au ndio mpaka nikapige bachelor degree?

naombeni msaada wakuu.

cc Danp36 , qn of sheba
 
Last edited by a moderator:
Si lazima kusoma advanced Diploma, hata waliosoma bachelor degrees wanafanya post graduate diploma, so kasome bachelor, ndo upate sifa ya kufanya post graduate diploma
 
post graduate diploma(PGD) ni kubwa zaidi ya hizo zote ulizotaja na ya chini kabisa ni ordinary diploma. hivyo ili kuweza kusoma PGD ni lazima uwe na advanced diploma ambapo ni equivalence(zina sifa sawa) na Bachelor degree, hivyo ndugu huna ujanja na kwa kua adv. diploma imefutwa kama usemavyo inakubidi usomee degree 3 years. sio mingi maana nami ndo naitumikia sasa
 
kama una ordinary dploma ni lazma usome advncd dplma au bachelor. Ukiwa na advncd dplma ili usome masters ni lazma uwe na post graduate dplma, ukiwa na bachelor unaweza kusoma masters ukiwa na gpa not less than 2.7
 
kama una ordinary dploma ni lazma usome advncd dplma au bachelor. Ukiwa na advncd dplma ili usome masters ni lazma uwe na post graduate dplma, ukiwa na bachelor unaweza kusoma masters ukiwa na gpa not less than 2.7
wewe ndiyo naona umejibu kwa ufasaha kabisa. mtoa maada sizani kaa anaswali lingine
 
Nilisoma PGD na wengi Siku ya kujitambulisha ndipo niligundua uzito wa PGD

wengi wanaosoma PGD wana bachelor, Masters na PHd nilisoma nao

Tofauti na Master's au Bachelor degree PGD inasomwa kwa miezi 9 semista mbili na ya Tatu ni utafiti. Katika PGD ni fast track mambo meeengi kwa muda mfupi.

kwa kawaida experience ya bachelor yako ama master yako utaitumia na ndipo PGD itakuwia nyepesi kwa kuwa meengi yanareflect background yako, hapa utaelekezwa katika career yako namna mbalimbali kuishi humo kiutendaji nk

Australian and New Zealand universities offer postgraduate diplomas (PostGradDip). A postgraduate diploma indicates master's -level studies. A bachelor's degree is required, although in some rare cases an advanced diploma is sufficient.


There are a vast number of postgraduate diplomas available in England and Wales. This could be a vocational course studied after an
academic degree , such as the Legal Practice Course or the Bar Vocational Course ; the resulting diplomas allow the student to enter legal training, relevant to either the solicitor or
barrister professions, respectively. Postgraduate diplomas allow a graduate student to study a more advanced programme than at the bachelor's level. It is contrasted with a graduate diploma , where a student studies a new academic subject at degree level, but in a short space of time, such as the Graduate Diploma in Law (also known as the Common Professional Exam ), which allows a postgraduate student to study the seven foundation subjects of a three year undergraduate law degree, in a period of nine months.
 
Back
Top Bottom