djsisco
Senior Member
- Jan 8, 2014
- 104
- 15
habari zenu wakuu,
naomba ufahamu kuhusu hizi diploma,
1. tofauti ya ordinary diploma, advanced diploma na post graduate diploma ni ipi?
2. mtu mwenye ordinary diploma yupo eligible kusoma post graduate diploma then aende masters au mpaka asome advanced diploma?
binafsi nina ordinary diploma in shipping & port management, nataka nikasome post graduate diploma in shipping & port management pale NIT, lakini requirements zao wanasema mpaka uwe na bachelor degree au advanced diploma.
nasikia advanced diploma ilifutwa, sasa kama ilifutwa ina maana mwenye ordinary diploma anaweza kusoma post graduate diploma au ndio mpaka nikapige bachelor degree?
naombeni msaada wakuu.
cc Danp36 , qn of sheba

Last edited by a moderator: