Post graduate (PG) - UDOM

Post graduate (PG) - UDOM

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Habari wana jukwaa.
Naomba kuuliza deadline ya kupokea application za post graduate diploma ni lini kwa UDOM?
Mwenye taarifa naomba anijuze. Asanteni.
 
Habari wana jukwaa.
Naomba kuuliza deadline ya kupokea application za post graduate diploma ni lini kwa UDOM?
Mwenye taarifa naomba anijuze. Asanteni.

Angalia kwenye tangazo la application kwenye website ya UDOM.
 
Back
Top Bottom