Post kwa CalvinPower tu

Post kwa CalvinPower tu

Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu.

natumai amekosea kati ya mb na gb
 
Halo Mkuu!!

Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana.

Model: E1550
IMEI: 359124034447644


Tafadhali naomba unlocking code yake.

Natanguliza shukurani
Mkuu gentle reminder tu, ukishapost IMEI watu wanaweza jua IMSI yako na hapo wanakuwa wanajua namba yako na akama uliregister basi unakuwa unajulikana kwa jina lako halisi.
Ushauri wangu mngekuwa mnam-PM CP
 
Back
Top Bottom