drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 290 Dec 16, 2010 #21 JosM said: Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu. Click to expand... natumai amekosea kati ya mb na gb
JosM said: Airtel hakuna kitu kama hicho mkuu, ni Mb 400 na siyo gb 400... Tena hizo 400 MB ni kwa wale tu wanao browsing kwa kutumia simu. Click to expand... natumai amekosea kati ya mb na gb
Nicky82 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2009 Posts 941 Reaction score 66 Jan 8, 2011 #22 Mawenzi said: Halo Mkuu!! Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana. Model: E1550 IMEI: 359124034447644 Tafadhali naomba unlocking code yake. Natanguliza shukurani Click to expand... Mkuu gentle reminder tu, ukishapost IMEI watu wanaweza jua IMSI yako na hapo wanakuwa wanajua namba yako na akama uliregister basi unakuwa unajulikana kwa jina lako halisi. Ushauri wangu mngekuwa mnam-PM CP
Mawenzi said: Halo Mkuu!! Nimeshindwa kukutumia IMEI ya Huawei kwa njia yoyote ile, including kuku-PM. Nimeona nikutumie kwa njia ya THREAD. Samahani sana. Model: E1550 IMEI: 359124034447644 Tafadhali naomba unlocking code yake. Natanguliza shukurani Click to expand... Mkuu gentle reminder tu, ukishapost IMEI watu wanaweza jua IMSI yako na hapo wanakuwa wanajua namba yako na akama uliregister basi unakuwa unajulikana kwa jina lako halisi. Ushauri wangu mngekuwa mnam-PM CP