Post mortem results are gradually revealing the pathophysiology of covid 19 diseases


“That’s why death is inevitable in a critical stage to a COVD 19 patients.! Mungu atusaidie kwakweli
 
Ndicho nilichoelewa kutokana na hiyo article.

Covid 19 sio pneumonia.

Ni kushindwa kufanya kazi kwa damu.

Madhara yanayoonekana kwenye mapafu yanatokana na cytokine storm.

Ebanaee.
Kwa maelezo ya Prof Sharif tatizo utaliona vizuri kupitia picha ya CT scan na huyu mdudu anashambulia red blood cells hivyo oxygen haibebwi kuelekea mwilini na kusababisha viongo vingine visifanyekazi,

Najiuliza Hawa tunaowachunguza tunatumia kipimo gani?
 
Wakati niko sekondari, nilimtembelea jamaa yangu aliyekuwa anasoma Muhimbili udaktari. Chumbani kwake kulikuwa na vitabu vingi. Nikachukuwa kimoja, nikaanza kusoma lakini sikuelewa chochote. Nilijishangaa sana. Nilikuwa mkali wa English lakini English iliyokuwa kwenye kile kitabu ilikuwa siyo ya kawaida. Nilipokwenda medical school ndio nikajua kwa nini sikuelewa kitu wakati nilipokuwa sekondari. Kwa hiyo nakuelewa vizuri unaposema haukuambulia kitu!
Nimejitahidi kuisoma huku nikijipa moyo nitasoma hadi mwisho ila wapi nimejitahidi wee ila lugha hainipi mzuka wa kusoma article ndefu hivi
 
Madaktari sasa hamna shule. Mna copy paste taarifa zinazozunguka kwenye groups za WhatsApp bila hata kujua source ni ipi. Kweli mtatuua.

 
Sahihi kabisa Cytokine storm, ngoja tuwaachie wataalam wapambane. sisi wengine tujikite kwenye kunawa na kutumia sanitiza.
 
Good article atleast now we are moving forward

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chief ndo maana nilikua nashangaa , kwanini isababishe renal failures? Kidneys ni very sensitive to hypoxia ambayo kumbe inasababishwa kupotea kwa uwezo wa hemoglobini kusafirisha oxygen kwenda kutumika kwenye organs na tissues mbali mbali ikiwemo figo. Lakini najiuliza swali lingine mbona hatujasikia madhara kwenye ubongo? Ubongo ni wa kwanza kuathiriwa na hypoxia kabla ya fogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…