- Thread starter
- #81
Mkuu taratibu za kitabibu huwekwa na WHO, sio jf, hapa ni kijiwe habari za humu nyingi Ni matangopori yenye lengo la mzaha, hivyo Kama wewe Ni daktari fuata mwongozo wa wizara au who.Vipi hii habari ni ya kweli? Mbona sioni popote ilipoandikwa? Siioni kwenye majarida ya kisayansi. Wala kwenye vyombo vya habari. Bado nchi zinaendelea na stockpiling ya ventilators kama kawaida. Bila shaka ni fake news nyingine tena. Hii ni hatari sana kwa sisi tunao hudumia wagonjwa. Tunaweza kuua kwa kutumia fake information kama hii badala ya kusaidia.