Post mortem results are gradually revealing the pathophysiology of covid 19 diseases

Hii inastahili Nobel Prize. Watu wanafanya kazi. This will go a long way kupata tiba ya huyu kidudu mtu. Angalau siri zake zimeanza kujulikana.
Mkuu tafit ziko nyingi
 
Huyu hajajua hata sifa za COVD zinashambuliaje, zinashambulia vipi na ni kwa nini mgonjwa anakufa anakimbilia kutengeneza kinga? unajikinga na kituambacho hujakijua? hawa ambao wamejua tabia ya huyu jamaa ijapokuwa hawajapata dawa wamepiga hatua kubwa sana kisayansi kama ni kweli
 
Trump aliwaambia watu wake watumie chloroquine , Lakini wapinzani wake wakamshambulia kuwa hana lolote ajualo.
Kama chloroquine inasaidia, Basi waafrica tuanze kutayarisha magamba ya muarobaini, na mizizi ya misongoma,na mikaritusi, Tuchemshe tunywe tutasavaivu tu.nuru imeanza kuonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda sana kusoma
Ila nimeshindwa kwa hili kutokana na maneno ya kibiolojia/kitaalamu
 
Ivi broo unajua hata kanuni za kufanya postmortem kweli au unaongea tu, kuna sheria pamoja na ethics haukimbilii kufanya tu kama maveternary.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa waliofanya na utafiti wao ndi tunaujadili hapa ni ma veternary? hivyo unataka kuleta utetezi kuwa mlikua kimya kwa sababu ya sheria ngumu bwana dactari?
 
Hahaa.......umejiandikia mwenyewe au copy &paste ndio shida......
Sijaambulia chochote
Mkuu kilichoandikwa hapo ni Udaktari kwa hiyo utasoma vumbi la uso. Huo ndio udaktari sasa. Ni maneno ya kigiriki na kilatini huwezi kuelewa wewe muingereza au mswahili. Wao kwa wao ndio wanafahamu
 
Tunataka report Kama hizi sio kutuambia Kuna mwanaume wamakamo katokea nchi za nje kaja na corona tunamshikilia kwa mahojiano zaidi
Hahahahaaa....
 
Mkuu kilichoandikwa hapo ni Udaktari kwa hiyo utasoma vumbi la uso. Huo ndio udaktari sasa. Ni maneno ya kigiriki na kilatini huwezi kuelewa wewe muingereza au mswahili. Wao kwa wao ndio wanafahamu
Daaa...... Hapo nimetolewa knockout round ya kwanza 15deconds
 
Ni kweli kabisa
 
Na Kama anashambulia iron ions Basi Yuko kwenye cino group hivyo ethanol sio Kinga nzuri, tutumie chlorine, kutumia ethanol products Ni kuendelea kumnenepesha ndio maana Prof Sharif anadhauri kusitisha matumizi ya alcohol
 
Nawaza Miaka 20 ijayo kwenye military exhibitions au zile sherehe ya kitaifa hakutakuwa tena na mavifaru, majetfighter sijui manyukria wala, yaani Kutakuwa na Makopo tu mezani yana label kama covid, sars, poronium, leathel gas etc. sambamba na presentation fupi fupi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe pamoja na kusomea hati mbofu mbofu , madkatari full elimu ,aisee lugha ya pathophysiology siyo mchezo.
 
Vipi hii habari ni ya kweli? Mbona sioni popote ilipoandikwa? Siioni kwenye majarida ya kisayansi. Wala kwenye vyombo vya habari. Bado nchi zinaendelea na stockpiling ya ventilators kama kawaida. Bila shaka ni fake news nyingine tena. Hii ni hatari sana kwa sisi tunao hudumia wagonjwa. Tunaweza kuua kwa kutumia fake information kama hii badala ya kusaidia.
 
Wakuu kila mmoja aingie chimbo aje na tafiti yenye majibu kuhusu tiba.
 
Kuna Dr Mchina alisema pia ukiwekewa tu ventilator kwaheri
Kuna mengi bado ya kujifunza kwenye huyu mdudu
Acha wataalamu wapasue kichwa sisi tusubiri maombi yaitike


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…