Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

Post picha hapa ya Tanzania isiyooneshwa katika TV

1735741690020.jpg
 
Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV .

Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi.

Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo

Asante.
1740682396509.jpg
 
Attachments

  • the-national-palace-museum-5972620_1280.jpg
    the-national-palace-museum-5972620_1280.jpg
    242.6 KB · Views: 1
Unajitangaza vibaya kwa manufaa ya nani, yani tuna ujinga ambao hautakuja kuisha. Wenzako wanatangaza vivutio wewe unakuja na thread ya kujitangaza madhaifu yako.

Jiulize kule nyumbani kwako kama picha ulizotupia kwenye social network ni zile zinazoonyesha madhaifu yako. Kama sivyo itendee na nchi yako vivyo hivyo.
 
Huyo mtoto unayetembea nae atakuja kukuliza. Na akishakuliza atachukua njia yake na wewe utabaki bibi sio bibi mshangazi uliyozeeka.

Unachotakiwa kuelewa ni kwamba umekosa pakudekea tu, ungedekea kwa mama na babaako.

Mumeo anawajibika na atakai salama wewebuta angamia kwa sababu njia unayokwenda sio njia sahihi.

Kuhusu maki anauwezo kukunyan'ganya sio nyumba zake tu, hata hela alizokupa anaweza akadai maana umexila kweli na unahonga. Na utarejea kwenu mtupu
 
Weka picha ya Tanzania Ambayo hauwezi kuiona katika TV .

Lengo ni Ku-raise awareness Kwa jamii kuwa Tuna Watanzania wenzetu wanoishi maisha magumu na wapo katika mazingira hatarishi.

Kupitia picha hizi Serikali na wadau wa Maendeleo wanaweza kufanya jambo

Asante.
DSC03130.JPG

DSC03803.JPG
DSC04261.JPG
 
Back
Top Bottom