Post SMS za vichekesho na utani hapa

Post SMS za vichekesho na utani hapa

IKISIMAMA PANDA....daladala hilo limeandikwa!siku hiyo nimelipanda kushuka stand nikawa naangalia linakoelekea,mara nikaiona title yake,dah nilijikuta natafakari sana na driver wake ana kamzuzu hivi basi nikacheka tu moyoni!!!
 
Nyie Mnaaminika kwa hayo makitu ... .... kama mmeruhusiwa wake wanne na mtume alikuwa nao zaidi si jambo la kushangaza kabisa

Ndugu Mlaleo,tafadhali usikashif dini.jama kafahamisha jamii kuwa ktk Uislam Dua ipo.sasa hapo Mtume kajaje tena?na wake wanne imetoka wapi?kama ulikuwa hujui ungeuliza kiustarabu.
 
Pengine wewe si mfuatiliaji wa haya makitu... nadhani ukifuatilia ndio utakuwa judge mzuri... wenzio wana maneno machafu balaa.... na upande wao wanajisifia sasa kwakuwa wengine tunaufahamu na hizi dini tokea zilivyoanza na vitu zinavyokataza hatuwezi kunyamaza.... kwakuwa ni evidence zipo haziwezi kuwa machukizo ni ukweli ulivyo na haubadiliki na sie wala hatuongezi kitu tunanukuu tu pole sana.... dini si mambo ya kificho kama wengine wanavyofanya... na kwa sababu ya uficho wanaogutuka baadae hupoteza kuamini na hicho ndicho kinakuwa machukizo kwa kusababisha waumini wasepe... na haijaanza leo tokea enzi na enzi hizo..... Ni vizuri kuelewa hivyo hutodanganywa wala kuacha wengine wadanganywe.... humu tunawekana sawa tu... ila inategemea utaingiaje.... ukienda ovyo unajibiwa ovyo ukija vizuri unajibiwa vizuri... ndio miafrica tulivyo kasema Nyani Ngabu

kama muislam kakosea basi Mface huyohuyo na si kushaif dini,maana dini inatujumisha waislamu wote.Pia nakukumbusha,Mungu tu ndio ata Judge nani yuko sawa na nani hayuko sawa na si wewe wala mtu yeyote.
Halaf unasema sijui 'UFICho' unaamanisha nini?
Kama kitu hukijui ni bora ukaka kimya au ukauliza kistarabu na sio kejeli na kashfa
 
kama muislam kakosea basi Mface huyohuyo na si kushaif dini,maana dini inatujumisha waislamu wote.Pia nakukumbusha,Mungu tu ndio ata Judge nani yuko sawa na nani hayuko sawa na si wewe wala mtu yeyote.
Halaf unasema sijui 'UFICho' unaamanisha nini?
Kama kitu hukijui ni bora ukaka kimya au ukauliza kistarabu na sio kejeli na kashfa

kwa wale wasiojua in short,ktk Uislam wanandoa wanaomba dua ya kumwepusha
Shetani nao na kile
watakachoruzukiwa kwa tendo hilo
(mtoto). Dua ni kinga ya waumini.
 
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufu
ya kwenye daladala.

1.Yatima hadeki
2.Utamu wa chips mimba
3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni
4. Usiyempenda kaja
5. Kobe hapimwi joto
6. Acha kazi uone kaz kupata kaz
7. Ukichezea koki utalowa
8. Heshima pesa kipara kovu tu!
9. Mtumbwi hauna saitmira.
9. Silaha pesa bastola mzigo
10. Hata uoge mjini huendi
11. Chezea mshahara usichezee kazi.
12. Ukiona manyoya ujue kishaliwa
13. Ikisimama Panda
14. Pombe pombe tuu kunywea bar mbwebwe
15. Njia ya chooni haioti nyasi
16. Likizo ya maskini ugonjwa
17. When i grow up i want to be a scania
18. Hata bibi alikuwa binti
19. Kisigino hakikai mbele
20. Kama mapenz pesa kaolewe na benki
21. Hata barabara ina matuta lakin huwez panda viazi
22. Mavi hayana miba lakin ukikanyaga lazma uchechemee
23. Paka haishi kwa msela
24. Ukipendwa ujue kuna boya kaachwa
25. Tako nalo lina nywele lakin hazinyolewi
26. Mchana nzi ucku mbu
27. Ucmshangae funza kukata viuno ndio mwendo wake
28. Kama umelipenda(gari) bonyeza nyota liwe lako
29. Supermarket hawauzi mkaa
30. We nisubiri mi nakungoja.
31. Zetu dagaa kuku tamaa
32. Hata uwe na heshima vipi huwezi kumpokea askari bunduki.



33. Baba yako analo...( mara nyingi kwenye magari mabovu)
 
mimi sipendi kelele ndio maana nikiwa nyumbani kwangu nasikiliza cd empty kutwa nzima kupoteza mawazo

We Sikuwez Ata Kidog Na Chakushangaz Et Ad Unachezaga Kwa Uhondo Unaoupata,,,,
 
Back
Top Bottom