Post SMS za vichekesho na utani hapa

IKISIMAMA PANDA....daladala hilo limeandikwa!siku hiyo nimelipanda kushuka stand nikawa naangalia linakoelekea,mara nikaiona title yake,dah nilijikuta natafakari sana na driver wake ana kamzuzu hivi basi nikacheka tu moyoni!!!
 
Nyie Mnaaminika kwa hayo makitu ... .... kama mmeruhusiwa wake wanne na mtume alikuwa nao zaidi si jambo la kushangaza kabisa

Ndugu Mlaleo,tafadhali usikashif dini.jama kafahamisha jamii kuwa ktk Uislam Dua ipo.sasa hapo Mtume kajaje tena?na wake wanne imetoka wapi?kama ulikuwa hujui ungeuliza kiustarabu.
 

kama muislam kakosea basi Mface huyohuyo na si kushaif dini,maana dini inatujumisha waislamu wote.Pia nakukumbusha,Mungu tu ndio ata Judge nani yuko sawa na nani hayuko sawa na si wewe wala mtu yeyote.
Halaf unasema sijui 'UFICho' unaamanisha nini?
Kama kitu hukijui ni bora ukaka kimya au ukauliza kistarabu na sio kejeli na kashfa
 

kwa wale wasiojua in short,ktk Uislam wanandoa wanaomba dua ya kumwepusha
Shetani nao na kile
watakachoruzukiwa kwa tendo hilo
(mtoto). Dua ni kinga ya waumini.
 



33. Baba yako analo...( mara nyingi kwenye magari mabovu)
 
mimi sipendi kelele ndio maana nikiwa nyumbani kwangu nasikiliza cd empty kutwa nzima kupoteza mawazo

We Sikuwez Ata Kidog Na Chakushangaz Et Ad Unachezaga Kwa Uhondo Unaoupata,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…