POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

POST Walimu Ajira mya 2013 mpaka mwezi APRIL.

Hawana utu na utashi kwa kuwaelimisha wa Tz kwani wao si wananafasi tayari na watoto wao wanasoma wapendako. Ila yana mwisho wake hayo. Walimu wapo mtaani na kunashule hazina walimu. Nenda Mpanda ndogo, Namanyere, Mwese, Kasulu, Muleba, Ngara, Geita, Buziku, Butundwe, N'nkome, Magu, Shirati, Sikonge, Bumbuli, Korogwe, Mufindi, Ileje, Ndanda, Nachingwea, Rufiji, Kiberege, Mlimba, Mahenge. Huko kote nimepita hakuna walimu. Ila serikali ya mshua fastjet hawataki toa ajira. Huu ni upuuzi ulio pindukia.
Mdau usisahau Mang'ula,Mngeta,Kiberege,Sanje,Kidatu,Msolwa,Kigwe,Kimamba,Tindiga,Malui,Mlegeni,Mbwade,Mnimsagara,Myombo,ZOmbo ulaya na zombo kwa tupa,Ilonga,Chanzuru,Mgubike,Mgugu,BAREGA
 
Back
Top Bottom