Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

Joined
Dec 27, 2020
Posts
43
Reaction score
70
Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram.

Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku ikiwavutia mastaa wengi ndani na nje ya nchi ambao wame appreciate kitu amefanya.

Hii yote inaonesha nguvu ya Diamond kwenye mitandao bongo sio ya kitoto.

 
Inaonekana Dogo Hana Aman ya moyo....

Lakin pia hatuwez jua Wazaz wake pengine wamemkalisha chini na kumsema.....

Ama Mganga!!!! Kaona Imbombo Ngafu!!! Hili pia ni shart!!![emoji38]
 
Ok sawa , kafanya vizuri Mana bifu haijengi ila inabomoa tu
 
Mbona anamwandiko mbaya hivi

Kaandika Kama anakimbizwa
 
Dogo mnafiki yule kaomba poo maana asingeweza mziki wa domo kubwa
 
Unafiki mtupu he has pointed no regrets or any wrong doing, he is too damn shit fake, hiking his visibility through Diamond isnt gona change his graph. He is far far lower class to Diamond. Diamond kindly relax on this shit, Kondemavi has been too short-lived on his sarcasm. No need for soonest reply, let's simply reply "Your Most Kind", Thank you.
 

Mange mbona alikuwa anagonga views hadi laki 5 Mkuu?
 
Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…