Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu
Huyo Harmonize tangu zamani huwa anajitahidi sana kuonesha hana matatizo na anataka amani lakini wenzake ni chatu kweli kweli.

Yeye asubiri siku wakimuua au akibuma ndio atajua kuwa wako serious.



 
Inabidi aombe poo tu na Kiingereza cha Form two.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…