Post ya Joseph Kusaga yazua gumzo mitandaoni...

Post ya Joseph Kusaga yazua gumzo mitandaoni...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Mbaya zaidi kaongeza na "PROUD OF YOU"
Screenshot_20181002-210336.png

Kama Bosi mwenyewe anamkubali D 100% Vijakazi wanatoa wapi jeuri ya kumdindia kijana wetu?
 
Mondi ni mma, sasa sijui wafanyakazi wa CMG wataposti.
 
Utandawazi umefungulia milango panya, popo, inzi, mbu, tandu, nyigu, mende, buibui, sisimizi, kenge na hata nyoka! Sasa nyumba 'inanuka'
 
Back
Top Bottom