Post yangu inayosomwa sana JF

Alagwa

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
96
Reaction score
88
Habari wanajamii forum. Muda sasa nimekuwa nikisoma na kuandika hapa lakini nimekuja kugundua kuwa hii ndio post yangu iliyosomwa sana na wanajamii forum kwasababu hata wewe umeisoma post hii.

Lakini kuandika hapa inataka moyo sana hasa moyo wakishujaa maana Kuna watu ni wajuaji sana tena wa kila kitu ila leo nimewapata na wamesema na hata wakitukana najua watawekwa sawa maana hii ni jamvi huru na la kuaminika Siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…