Post yanye views nyingi hapa Jamii Forums

Post yanye views nyingi hapa Jamii Forums

Alagwa

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
96
Reaction score
88
Mara nyingi nimekuwa nikifatila uzi za hapa JF kuona kile kinachoendelea lakini nimegundua kuwa kuna uzi zinasomwa Sana hapa nakupata comments kubao.

Pia nimegundua mara nyingi uzi hizo nizile zinazogusa jamii hasa mambo yandani sana ya jamii pia maswala ya siasa huwa yanasomwa sana.

Je, wewe kwa upande wako unaona ni nyuzi ipi nyingine husima ukiiona tuu
 
Kwangu Mimi Post MAARUFU ambayo wengi wamekua wakiitolea mifano na kuonesha kuwa wamewahi kuviona ni
"KULA TUNDA KIMASIHARA"

Kwa upande wako wewe ni post ipi maarufu?
 
Back
Top Bottom