Post zitatoka mwishoni mwa mwezi huu,kwa sbb form 5 wanatakiwa kuripoti kuanzia katikati ya mwezi wa 4.
Baraza la Mitihani lina kazi ya kuandaa na kusimamia mitihani ya Elimu ya Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu!
Wizara ya Elimu ina jukumu la kuandaa sera na mipango mbalimbali ya Elimu,pia inasimamia mafunzo ya Elimu ya Ualimu kwa Vyuo vya Ualimu.