Post za form five

Post za form five

gizzlegray

New Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
2
Reaction score
0
1.post zitatoka lini? 2.naomba msaada nataka kufahamu majukumu ya wizara ya elimu na baraza la mitihani kwenye mitihani ya taifa.
 
1.post zitatoka lini? 2.naomba msaada nataka kufahamu majukumu ya wizara ya elimu na baraza la mitihani kwenye mitihani ya taifa.

Post zitatoka mwishoni mwa mwezi huu,kwa sbb form 5 wanatakiwa kuripoti kuanzia katikati ya mwezi wa 4.
Baraza la Mitihani lina kazi ya kuandaa na kusimamia mitihani ya Elimu ya Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu!
Wizara ya Elimu ina jukumu la kuandaa sera na mipango mbalimbali ya Elimu,pia inasimamia mafunzo ya Elimu ya Ualimu kwa Vyuo vya Ualimu.
 
Join Date : 8th March 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
 
Back
Top Bottom