Post za kidato gha tano 2013 zinatangazwa lini?

Brightest

Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Habari zenu waungwana? Hivi wizara itatangaza lini majina na shule za waliochaguliwa kujiunga form 5 kwa mwaka 2013?🙂
 
Hebu jaribu kutembelea website ya wizara ya elim huenda ukapata dondoo kuhusu hilo suala.
 
Back
Top Bottom