Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo

Post Za Kwenda Kidato Cha Tano Zimetolewa Leo

tumechoka kukaa kitaaa necta tukumbukeni jamani na sisi tukalisongeshe hili gurudumu la elimu tazameni siku nazo zinavyokwenda mbio kumbukeni time is money jamani ninaamini mpo mnatufikiria amina
 
Hakuna kitu NECTA hawajaweka chochote kuhusu post muwe mna post vitu vya maana bana acheni ulimbukwen
 
Huyu jamaa muongo. Sioni watu walio chaguliwa kusoma combination mpya zilizo anzishwa?
 
Back
Top Bottom