CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Sep 17, 2013 #1 Jamani naombeni mwenye updates zozote kuhusu ajira mpya za ualimu zinatoka lini maana nimechoka kupiga tempoooo!!
Jamani naombeni mwenye updates zozote kuhusu ajira mpya za ualimu zinatoka lini maana nimechoka kupiga tempoooo!!
L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Sep 17, 2013 #2 Komaa kijana.kuhusu post ni january
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Sep 17, 2013 Thread starter #3 Duh! kuna taarifa sio rasmi wanadai eti pengine mwezi october! sasa duh.. nashukuru kwa taarifa pia
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Sep 17, 2013 #4 allan clement said: Duh! kuna taarifa sio rasmi wanadai eti pengine mwezi october! sasa duh.. nashukuru kwa taarifa pia Click to expand... Ni mwaka wa fedha wa 2014/2015 ndo wanaajiriwa.
allan clement said: Duh! kuna taarifa sio rasmi wanadai eti pengine mwezi october! sasa duh.. nashukuru kwa taarifa pia Click to expand... Ni mwaka wa fedha wa 2014/2015 ndo wanaajiriwa.
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Sep 17, 2013 Thread starter #5 Hapana.. mwaka wa fedha 2014 umeshaanza tangu julai?
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Sep 17, 2013 #6 allan clement said: Hapana.. mwaka wa fedha 2014 umeshaanza tangu julai? Click to expand... umeanza wa 2013/2014.
allan clement said: Hapana.. mwaka wa fedha 2014 umeshaanza tangu julai? Click to expand... umeanza wa 2013/2014.
Elly Andrew JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 411 Reaction score 175 Sep 18, 2013 #8 tegemea march NDUGU, KWA SASA FANYA MENGNE MAY B KUANZIA FEB UANZEKUFIKIR
L Lugano5 R I P Joined Jul 15, 2010 Posts 4,520 Reaction score 757 Sep 18, 2013 #9 Ushauri wangu>"BE PATIENT" [updated-boy]
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Sep 18, 2013 Thread starter #10 thanks guys.. no way out ngoja tuendelee kuisikilizia serikali yetu sikivu.