Post za ualimu mwaka 2013-14

Post za ualimu mwaka 2013-14

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Jamani naombeni mwenye updates zozote kuhusu ajira mpya za ualimu zinatoka lini maana nimechoka kupiga tempoooo!!
 
Duh! kuna taarifa sio rasmi wanadai eti pengine mwezi october! sasa duh.. nashukuru kwa taarifa pia
 
Hapana.. mwaka wa fedha 2014 umeshaanza tangu julai?
 
tegemea march NDUGU, KWA SASA FANYA MENGNE MAY B KUANZIA FEB UANZEKUFIKIR
 
thanks guys.. no way out ngoja tuendelee kuisikilizia serikali yetu sikivu.
 
Back
Top Bottom