post za askari huwa hazitangazwi, sema unataka kujua kama waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi tayari majina yao yametangazwa ili wakafanye usaili.
maana taarifa nilizonazo, wale wa fomu four bila taaluma tayari wamemaliza usaili, waliosalia ni wale waliotuma maombi wenye ujuzi mbalimbali, shortlist itatangazwa soon. kama ni mmoja wao ww subiri, wala haihitaji uharaka kiasi hicho