Post za uaskari polisi

Post za uaskari polisi

callixtus

Member
Joined
May 7, 2015
Posts
86
Reaction score
31
tuliambiwa kuwa majina yatatolewa tarehe 25 mwez huu mpaka sa hizi kimya kuna yeyote mwenye fununu?
 
tuliambiwa kuwa majina yatatolewa tarehe 25 mwez huu mpaka sa hizi kimya kuna yeyote mwenye fununu?

post za askari huwa hazitangazwi, sema unataka kujua kama waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi tayari majina yao yametangazwa ili wakafanye usaili.

maana taarifa nilizonazo, wale wa fomu four bila taaluma tayari wamemaliza usaili, waliosalia ni wale waliotuma maombi wenye ujuzi mbalimbali, shortlist itatangazwa soon. kama ni mmoja wao ww subiri, wala haihitaji uharaka kiasi hicho
 
Back
Top Bottom