Post za walimu zatangazwa.

Baada ya muda mrefu hatimaye leo waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi dr shukuru kawamba atangaza ajira za walimu,kwa ngazi za cheti,shahada na stashada,waziri pia akaongeza kuwa mwisho wa kulipot vituo vya kazi ni tarehe 1 mach 2013 up to 9..hivyo kutoa matumain kwa vijana wengi ambao walikuwa mtaani wakingojea ajira hizo..source tbc taifa habari tar 13/2/2013
 
MULUGU waonee huruma waja wako
 
Last edited by a moderator:
the names r nowhere to be found upuuzi gani huu? au mpaka hiyo 1 MARCH?
 
bado kupostiwa web yao ya moe.go.tz - wa Tz ni wepesi wa wa kuita wandishi na kubwbwaja
 
jamani, huwa anaanza waziri kusema ndo zinatoka so hope by tommorow morning zitakuwa kwa website ya moevt, na web inafunguka ,....kip on waitning
 
hatimaye post za walimu za tangazwa leo tar 13.kuripoti tar 1 march.mkafanye kazi na muache ubishoo na maringo.

Yes, yes...! tumesubiri sana hatimaye Waziri mwenye dhamana leo ametangaza kwa mdomo wake. Hii ilikuwa taarifa ya habari TBC leo saa kumi jioni.
Endeleeni kufuatilia taarifa hii leo saa mbili usiku TBC HABARI. Kuripoti ni tarehe 01 March hadi tarehe 09 March. Nimecheki web yao bado ipo suspended domain
 
Ewe Mungu wa Abrahamu,Isaka na Yakobo jaalia mwaka 2014 zitangazwe Januari Aameen.
Kila la kheri kwa waliopata, waliokosa waendelee ku-fight b'coz life goes on.!

The Son.
 
jamani, huwa anaanza waziri kusema ndo zinatoka so hope by tommorow morning zitakuwa kwa website ya moevt, na web inafunguka ,....kip on waitning
huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Njaa mbaya jamani dah! Hivi nyie si ndio munaoipoda TBC na kuiita TBCCM na mnasema kusikiliza na kuangalia ni janga la kitaifa au? Leo imekuwa mkombozi? "the pumkin in the old homestead must not be uprooted!
 
Hata isingetangaza hii tbccm bado post zingetangazwa na kuwafikia walengwa tu. Kwa sababu MOEVT haitegemei tbccm katika kufanya kazi zake ndio maana ina anwani na website yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…